Tuesday, August 4, 2015

video:Ukweli kuhusu Dr. Slaa kutoonekana CHADEMA.


Mbowe II
Toka July 28 2015 siku ambayo Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa MonduliEdward Ngoyai Lowassa alitambulishwa kujiunga CHADEMA na kukabidhiwa Kadi ya Chama hicho, zikaanza kuandikwa headlines Magazetini baada ya kutoonekana kwa Dk. Slaa katika Vikao mbalimbali vya Chama hicho.
SLAAAlichokisema Freeman Mbowe kipo ukibonyeza play hapa chini..

No comments:

Post a Comment

Popular Posts