Wednesday, August 5, 2015

video: usipitwe na kuangalia Chumba cha mtoto wa Zari na Diamond


roomKwenye kuzi count zile siku ambazo Diamond Platnumz alizitamka kuwa tumtegemee kuitwa Baba leo kaamua kushare picha za chumba cha mtoto wao huyo wanaemtegemea yeye pamoja na Mpenzi wake Zari.
zariiiiiiiDiamond kwenye video ambayo amepost kwenye mtandao wa picha wa Instagramameonyesha anachezea viatu vya mtoto huyo huku tukionyeshwa mandhari ya chumba hicho.
Bonyeza play kutazama video hiyo.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts