Saturday, August 29, 2015

Hawa ndio wasanii waliojitokeza viwanja vya Jangwani kwenye kampeni za UKAWA


.
.
Endelea kukaa na mimi mtu wako wa nguvu kwenye Facebook, twitter na instagram kupitia jina langu la ‘millardayo’ nakusogezea kile kinachoendelea kutoka kwenye kampeni za UKAWA katika viwanja vya Jangwani Dar es Salaam.
Hapa nina picha za wasanii wakiwemo wa Bongo Fleva na Bongo Movie waliojitokeza kusikiliza kile kitakachozunguzwa na viongozi mbalimbali.
.
Aunt Ezekiel na wasanii wenzake
.
.
.
Mwimbaji kutoka Bongo flevani, Timbulo (kulia)
.
Shamsa Ford. A.T na Chuzi (kulia)
.
.
.
Mwigizaji kutoka kwenye tasnia ya filamu, William Mtitu
.
Mwimbaji  wa nyimbo za Dini, Bahati Bukuku.
.
.
.
.
.
.
.
Kwa mbali namuona mwimbaji wa Bongo Fleva, Bob Junior
.
Mwigizaji wa Filamu, Jackline Wolper

No comments:

Post a Comment

Popular Posts