USIPITWE NA MANENO HAYA YA JAMUHURI KIWELU JULIO WAKATI ANATANGAZA NIA YA UDIWANI KATA YA KIGOGO
Kocha wa Mwadui ya mkoani Shinyanga Jamhuri Kiwhelu maarufu kwa jina la JULIO ni miongoni mwa waliotia nia ya kugombea Udiwani katika kata ya Kigogo kwa tiketi ya chama cha mapinduzi ( CCM )
Msikilize Julio alipokuwa akijinadi mbele ya wapiga kula.
No comments:
Post a Comment