Njia
moja wapo ambayo vilabu vya Ulaya vinapata pesa nyingi ni kwenye jezi
za timu zao. Inawezekana kwa kupata dili kubwa la kutengeneza jezi
kutoka kwenye kampuni ya uzalishaji au kutoka kwa mdhamini. Hizi hapa ni
club 10 za ulaya ambazo jezi zao zinathamani kubwa sana kutokana na
mikataba yao ya sasa hivi.Note: Thamani zilizoandikwa hapa ni kwa msimu wa 2015/2016 maana yake ni kwamba pesa watakazo vuna kwa thamani ya jezi zao msimu huu ukiachana na mauzo ya jezi zenyewe.
No comments:
Post a Comment