Tuesday, September 8, 2015

VIDEO: Gwajima Amlipua Dr Slaa, Atoa ONYO Kwa Usalama wa Taifa......Walinzi, Wachungaji Wasimulia Jinsi Dr. Slaa Alivyorubuniwa na Mkewe


Askofu Josephat Gwajima amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu Tuhuma alizopewa na aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa

Hapa  kuna  video 7  za  mazungumzo yote ya Gwajima

Video ya kwanza: Gwajima akisimulia alivyojuana na Dr Slaa.<iframe width="560" height="360" src="https://www.youtube.com/embed/rVd4EG6iNr0" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>

<iframe width="560" height="360" src="https://www.youtube.com/embed/rolgUjRpGrM" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
 Video  ya  Pili: Mchungaji Gwajima asema Urafiki wao ulianzia pale Dr. Slaa alipomuomba walinzi kutoka kanisani akihofia kulindwa na polisi.

<iframe width="560" height="360" src="https://www.youtube.com/embed/TiDofXv0FFI" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
  
Video ya 3: Mchungaji Gwajima amesema kauli za Dr. Slaa kuhusu ujio wa Lowassa CHADEMA si za kweli akibainisha kuwa aliyemtaka Lowassa ni Dr. Slaa.

<iframe width="560" height="360" src="https://www.youtube.com/embed/jIOCfYxpo08" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
 Video  ya 4: Mchungaji Gwajima amethibitisha kwa kumwita mlinzi wake atoe ushahidi kuwa Dr. Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kumkaribisha Lowassa ndani ya CHADEMA. 

<iframe width="560" height="360" src="https://www.youtube.com/embed/jauYIhX45dM" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>

<iframe width="560" height="360" src="https://www.youtube.com/embed/wz7Fz4m-HVc" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
 Video ya 5:Gwajima akionyesha vielelezo vya mazungumzo yake na Dk.Slaa alipotupiwa mabegi nje na mkewe.

<iframe width="560" height="360" src="https://www.youtube.com/embed/OOmrUV7Nh8w" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
 Video ya 6:Wachungaji waeleza namna mke wa Dk.Slaa alivyokuwa na mchango mkubwa wa maamuzi ya Dk.Slaa

<iframe width="560" height="360" src="https://www.youtube.com/embed/xXLM8_3qhSs" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>

<iframe width="560" height="360" src="https://www.youtube.com/embed/I5GrrAnr5Qo" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>

No comments:

Post a Comment

Popular Posts