Saturday, September 5, 2015

KUMBE JUVENTUS ILIKUBALI KUMUUZA POGBA KWENYE CLUB HII YA EPL LAKINI YEYE AKAKATAA

2BCFED9700000578-0-image-a-140_1441373111500
Paul Pogba alikua moja kati ya wachezaji hot cake wakati kipindi cha usajili kinakaribia lakini ilikua tofauti kabisa kwani hakuonyesha hamu ya kwenda kwenye club yoyote.
Pogba ambae kwa sasa ni mmoja kati ya wachezaji tegemezi kwa Juventus kumbe alitakiwa na club ya Chelsea kwa kiasi cha £62m. Taarifa za ndani club ya Juventus inasemakana walikubari mzigo huo na kutaka kumuuza lakini yeye alikataa kuhama na kutaka kubaki Juve.
Kama unakumbuka John Mikel Obi alihusishwa sana kuhamia club ya Besiktas lakini baada ya Pogba kukataa kwenda Chelsea na dili la Mikel Obi kuhama Chelsea likafa. Director wa Juventus aliwai kusema kwamba kama Pogba akiendelea na perfomance yake kama ya msimu uliopita basi thamani yake itapanda hadi €100m.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts