Wednesday, September 2, 2015

ASIKWAMBIE MTU MASHABIKI WA NDONDO WANANOGESHA MICHUANO, ANGALIA WALIVYOPAGAWISHA MECHI YA FARU JEURI VS MAKUMBA FC

Wadada wa Makumba FC wakiwa wamepagawa na mzuka wa ngoma na nyimbo

Mashabiki wa Makumba FC wakizunguka uwanja kuishangilia timu yao

Hawa ni mashabiki wa Faru Jeuri wakionesha show yao

Kama kawaida mashabiki wa Faru Jeuri nao wakauzunguka uwanja kuisapoti timu yao
Kama kawaida mashabiki wa Faru Jeuri nao wakiuzunguka uwanja kuisapoti timu yao
Wakali wa Faru Jeuri wakiwa wamehamasika na mzuka ukiwa umewapanda

Mashabiki wa Makumba walitinga T-shirt zilizopritiwa jina la timu yao yote ni kuonesha jinsi gani wanaikubali

Hapa sasa, wadada wa wanaoshabikia Faru Jeuri wakionesha uwezo wao

Mashabiki wa Faru Jeuri wakishangilia pamoja wacheaji wa timu yao mara baada ya mchezo kumalizika

No comments:

Post a Comment

Popular Posts