Tuesday, August 11, 2015

Video: Usipitwe na Alichokizungumza Peter wa P Square kuhusu Diamond na Watanzania


PeterPeter ambaye ni mwimbaji kutoka kundi la P Square aliongea na ripota wako Millard Ayokuhusu Diamond Platnumz na kitu Watanzania wanatakiwa kufanya lakini pia amezungumzia kolabo yao, hii video hapa chini ina kila kitu alichokisema.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts