Mchezo huo umemalizika kwa West Ham United kuibuka kifua mbele kwa kuifungaArsenal magoli 2-0.
Koyaute alianza kuifungia goli West Ham katika dakika ya 43 ya kipindi cha kwanza, kabla ya Zarate kufunga goli la pili na kuhitimisha ushindi muhimu dhidi ya vijana waArsenal Wenger.
Unaweza kuangalia video uinayoonesha magoli yote yalivyofungwa hapa mtu wangu.
No comments:
Post a Comment