Saturday, August 29, 2015

Maneno ya SUMAYE, MBATIA, MBOWE na LOWASSA wakati wa uzinduzi wa kampeni UKAWA..

3X6A6476
Katika viwanja vya vya Jangwani, Dar es salaam UKAWA wamezindua kampeni zao kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 25.
Viongozi mbalimbali walikuwepo katika uzinduzi huo na kuzungumza mambo mbalimbali kwa Wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye viwanja hivyo.
Haya ni maneno ya baadhi ya viongozi waliokuwepo kwenye uzinduzi huo.
LAWRANCE MASHA-Naomba niseme vitu viwili, sisi tiliojiunga UKAWA tunaakili timamu, sio makapi wala wapumbavu

No comments:

Post a Comment

Popular Posts