Thursday, August 20, 2015

KISA HAUSIGELI, NJEMBA ALA KICHAPO

TIMBWILI! Njemba mmoja mkazi wa Kisimani mjini Tunduma wilayani Momba, Mbeya ambaye jina lake halikupatikana mara moja, amejikuta akila kichapo kisa, kudaiwa kumtorosha msichana wa kazi ‘hausigeli’ wa mtu.
Tukio hilo lililokusanya watu kibao, lilijiri juzikati katika maeneo hayo baada ya vijana hao kumtuhumu kijana huyo kwamba amemficha msichana huyo ambaye bosi wake aitwaye Johnson alikuwa akimtafuta

No comments:

Post a Comment

Popular Posts