Sunday, August 16, 2015

Haya hapa Magoli ya Simba Vs URA 2-1

MagoliAugu
Mshambuliaji Kelvin Ndayisenga akishangilia baada ya kuifungia Simba goli la kwanza
Mshambuliaji Kelvin Ndayisenga akishangilia baada ya kuifungia Simba goli la kwanza
Timu ya Simba SC jana ilishinda mchezo wake wa kirafiki wa kimataifa kwa goli 2-0 dhidi ya timu ya URA FC ya Uganda mechi iliyopigwa kwenye uwanja wa Taifa.
Hapa nimekuwekea picha zikionesha matukio mbalimbali wakati mcheo huo ulivyokuwa ukiendelea.
Kelvin Ndayisenga (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake goli la kwanza
Kelvin Ndayisenga (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake goli la kwanza
Watoto wazuri nao walikuwepo wakishuhudia mtanange kati ya Simba na URA FC
Watoto wazuri nao walikuwepo wakishuhudia mtanange kati ya Simba na URA FC
Simba vs URA 9
Simba vs URA 8
IMG_7567
IMG_7543
Juuko Murshid (kulia) akishangilia pamoja na Ibrahim Ajibu baada ya kuifungia timu yake goli la pili
Juuko Murshid (kulia) akishangilia pamoja na Ibrahim Ajibu baada ya kuifungia timu yake goli la pili
9
4
Simba vs URA 5
Simba vs URA 4
Kikosi cha URA kilichoanza dhid ya Simba SC
Kikosi cha URA kilichoanza dhid ya Simba SC
Kikosi cha timu ya Simba SC kilichoanza kwenye mchezo dhidi ya URA
Kikosi cha timu ya Simba SC kilichoanza kwenye mchezo dhidi ya URA
Wachezaji wa Simba kabla ya kushuka kwenye gari
Wachezaji wa Simba kabla ya kushuka kwenye gari
Basi la Simba likiwasili uwanja wa Taifa
Basi la Simba likiwasili uwanja wa Taifa
st 15 2015 ilikua siku nyingine kubwa kwa mashabiki wa Simba na URA ya Uganda sababu timu hizi mbili zilikutana kwenye mechi iliyopigwa uwanja wa taifa Dar es salaam ambapo mpaka time inakatika matokeo ilikua Simba 2 – 1 URA, unaweza kutazama magoli yote ya Simba hapa chini kwenye hii video.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts