Sunday, August 9, 2015

HAWA HAPA WAKALI WA SIMBA WALIOTAMBULISHWA KATIKA SIMBA DAY

Mussa Hassan Mgosi
Mussa Hassan Mgosi
‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba leo imewametambulisha wanandinga wake wapya ambao imewasajiliwa kwa ajili ya msimu ujao. Wachezaji hao wametambulishwa leo mbele ya mashabiki wao kabla ya kupigwa kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya SC Villa ya Uganda ambapo Simba wameshinda mchezo huo kwa goli 1-0.
Hawa ni miongoni mwa wachezaji ambao wametambulishwa leo ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya siku ya ‘Simba Day’ ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Agosti 8.
Peter Mwalyanzi
Peter Mwalyanzi
Emery Nimubona
Emery Nimubona
Vicent Angban
Vicent Angban
Hamis Kiiza
Hamis Kiiza
Mwinyi Kazimoto
Mwinyi Kazimoto 

No comments:

Post a Comment

Popular Posts