Wednesday, August 12, 2015

BARCELONA HAO NA KOMBE LAO

2B486CEC00000578-3194156-image-a-94_1439330159530
Pedro (kulia) akishangilia wakati nahodha wa Barcelona, Andres Iniesta akinyanyua ndoo.
Barcelona won the treble last season and began the new season with silverware, securing their first trophy of the new term in Tbilisi
Msimu uliopita, Barcelona walishinda makombe matatu na wameanza msimu mpya kwa kushinda kombe lao la kwanza ambalo limepata jina mpya la Tbilisi
Lionel Messi looks emotional on the pitch after Barcelona beat Sevilla 5-4 in the Georgian capital
Lionel Messi akiwa na hisia kali baada ya Barca kuichapa 5-4 Sevilla katika mechi a fainali iliyopigwa mji mkuu wa Georgia
Luis Suarez parades the trophy at the Dinamo Arena after an impressive showing against the Europa League winners
Luis Suarez akinyanyua ndoo

No comments:

Post a Comment

Popular Posts