Friday, July 31, 2015

Dakika 9 za aliyoyaongea Shilole baada ya kufungiwa mwaka mmoja na BASATA kutojihusisha na muziki


ShishiKama hii stori ilikupita niliiweka kwenye post zilizopita hapa millardayo.com ambapo kwa ufupi ni kwamba Baraza la sanaa Tanzania BASATA limemfungia msanii wa bongofleva Shilole kutojihusisha na kazi yeyote ya mziki kwa mwaka mmoja kutokana na madai ya kuidhalilisha sanaa na Tanzania pale alipopanda jukwaani nchiniUbelgiji na nguo yake kuachia na maziwa yake kuonekana.
Usiku wa July 30 2015 AyoTV na millardayo.com ilimtafuta Shilole na kuongea nae kwa dakika 9 za machungu yake na video yenyewe ndio hii hapa chini bonyeza play kumtazama Shilole.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts